Mon Nov 07 2022 19:21:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 19:21:27 +03:00
parent 7f137fe1a2
commit de6422fe41
3 changed files with 3 additions and 10 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 20 Kwa kuwa mmejidanganya vibaya wenyewe wakati mliponituma mimi kwenda kwa Yahwe Mungu wenu na kusema, 'Omba kwa Yahwe Mungu wetu kwa ajili yetu. Lolote ambalo BWANA Mungu wetu asema, tuambie, na tutalibeba.' \v 21 Kwa kuwa nimekwisha toa taarifa kwenu leo, lakini hamjasikiliza sauti ya BWANA Mungu wenu au hususani kwa lolote ambalo alinituma mimi kwenu. \v 22 Basi sasa, mtajua kwa hakika kwamba mtakufa kwa upanga, njaa, na pigo katika eneo ambalo mlitamani kwenda kuishi."
=======
\v 20 Kwa kuwa mmejidanganya vibaya wenyewe wakati mliponituma mimi kwenda kwa Yahwe Mungu wenu na kusema, 'Omba kwa Yahwe Mungu wetu kwa ajili yetu. Kila kitu ambacho Yahwe Mungu wetu asema, tuambie, na tutaibeba.' \v 21 Kwa kuwa nimekwisha toa taarifa kwako leo, lakini hujasikiliza sauti ya Yahwe Mungu wenu au kwa chochote kuhusu ambacho alinituma mimi kwako. \v 22 Basi sasa, utajua kwa hakika kwamba utakufa kwa upanga, njaa, na pigo katika eneo ambalo ulitamani kwenda kuishi."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113

\c 43 \v 1 Ilitokea kwamba Yeremia alimaliza kuhubiri kwa watu wote maneno yote ya Yahwe Mungu wao kwamba Yahwe Mungu wao alimwambia kusema. \v 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea, na watu wa kiburi walisema kwa Yeremia, "Unasema uongo. Yahwe Mungu wetu hajakutuma wewe kusema, 'Usiende Misri kuishi huko.' \v 3 Kwa kuwa Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu kututia sisi kwenye mkono wa Wakaldayo, kwa kuwa umesababisha kifo chetu na kutufanya sisi mateka huko Babeli."
=======
\c 43 \v 1 Ilitokea kwamba Yeremia alimaliza kuhubiri kwa watu wote maneno yote ya Yahwe Mungu wao kwamba Yahwe Mungu wao alimwambia kusema. \v 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea, na watu wenye kiburi walisema kwa Yeremia, "Unasema uongo. Yahwe Mungu wetu hajakutuma wewe kusema, 'Usiende Misri kuishi huko.' \v 3 Kwa kuwa Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu kututoa sisi kwenye mkono wa Wakaldayo, kwa kuwa wewe umesababisha kifo chetu na kutufanya sisi mateka huko Babeli."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\c 43 \v 1 Ilitokea kwamba Yeremia alimaliza kuhubiri kwa watu wote maneno yote ya Yahwe Mungu wao kwamba Yahwe Mungu wao alimwambia kusema. \v 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea, na watu wa kiburi walisema kwa Yeremia, "Unasema uongo. Yahwe Mungu wetu hajakutuma wewe kusema, 'Usiende Misri kuishi huko.' \v 3 Kwa kuwa Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu kututia sisi kwenye mkono wa Wakaldayo, kwa kuwa umesababisha kifo chetu na kutufanya sisi mateka huko Babeli."

View File

@ -260,6 +260,7 @@
"42-13",
"42-15",
"42-18",
"42-20",
"43-title",
"44-title",
"45-title",