sw_jer_text_reg/43/01.txt

1 line
493 B
Plaintext

\c 43 \v 1 Ilitokea kwamba Yeremia alimaliza kuhubiri kwa watu wote maneno yote ya Yahwe Mungu wao kwamba Yahwe Mungu wao alimwambia kusema. \v 2 Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea, na watu wa kiburi walisema kwa Yeremia, "Unasema uongo. Yahwe Mungu wetu hajakutuma wewe kusema, 'Usiende Misri kuishi huko.' \v 3 Kwa kuwa Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu kututia sisi kwenye mkono wa Wakaldayo, kwa kuwa umesababisha kifo chetu na kutufanya sisi mateka huko Babeli."