Mon Nov 07 2022 10:52:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 10:52:34 +03:00
parent d03800e80c
commit d0359338df
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawie. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumesikia matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe.
\v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawie. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumekuwa matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe.