Mon Nov 07 2022 10:50:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 10:50:34 +03:00
parent cb2ef91172
commit d03800e80c
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. Kwani waharibifu watamwijia kutoka kaskazini-- hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanyia waanga wa kifo wa Israeli kuanguka, hivyo wwaliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli.
\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. Kwani waharibifu watamwijia kutoka kaskazini-- hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanyia waanga wa kifo wa Israeli kuanguka, hivyo wote waliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli.

View File

@ -1 +1 @@
\v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawiye. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumesikia matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe.
\v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawie. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumesikia matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe.

View File

@ -180,6 +180,7 @@
"51-38",
"51-41",
"51-43",
"51-45"
"51-45",
"51-47"
]
}