Wed Oct 12 2022 16:08:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-12 16:08:35 +03:00
parent 2e60febae5
commit c1766a0e49
3 changed files with 5 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 33 Yahwe Mungu wa majeshi asema hivi: watu wa Israeli wamenyanyaswa, pamoja na watu wa Yuda. Wate waliowateka bado wanawashikilia; wanakataa kuwaacha waondoke. \v 34 Yeye awaokoaye ni mwenye nguvu. Yahwe wa majeshi ni jina lake. Kwa hakika atalitetea shitaka lao, ili kuleta pumziko katika nchi, na kuwapiga wakaao Babeli.
\v 33 Yahwe Mungu wa majeshi asema hivi: watu wa Israeli wamenyanyaswa, pamoja na watu wa Yuda. Wote waliowateka bado wanawashikilia; wanakataa kuwaacha waondoke. \v 34 Yeye awaokoaye ni mwenye nguvu. Yahwe Mungu wa majeshi ni jina lake. Kwa hakika atalitetea shitaka lao, ili kuleta pumziko katika nchi, na kuwapiga wakaao Babeli.

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 Upanga u juu ya Wakalidayo - asema Yahwe - na juu ya wakaao Babeli, viongozi wake, na wenye hekima wake. \v 36 Upanga unakuja juu ya waganga, ili wajione kuwa wajinga. Upanga utakuwa juu ya askari wake, hivyo watajaa hofu. \v 37 Upanga utakuwa juu ya farasi wake, vibandawazi vyao na na watu wote waliomo Babeli, hivyo watakuwa kama wanawake. Upanga utakuwa juu ya ghala zake, nazo zitatekwa.
\v 35 Upanga u juu ya Wakalidayo - asema Yahwe - na juu ya wakaao Babeli, viongozi wake, na wenye hekima wake. \v 36 Upanga unakuja juu ya waganga, ili wajione kuwa wajinga. Upanga utakuwa juu ya askari wake, hivyo watajaa hofu. \v 37 Upanga utakuwa juu ya farasi wake, vibandawazi vyao na watu wote waliomo Babeli, hivyo watakuwa kama wanawake. Upanga utakuwa juu ya ghala zake, nazo zitatekwa.

View File

@ -601,6 +601,8 @@
"50-25",
"50-27",
"50-29",
"50-31"
"50-31",
"50-33",
"50-35"
]
}