From c1766a0e4931ed48bfbac06b008dbd7648cd2c98 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Wed, 12 Oct 2022 16:08:35 +0300 Subject: [PATCH] Wed Oct 12 2022 16:08:34 GMT+0300 (East Africa Time) --- 50/33.txt | 2 +- 50/35.txt | 2 +- manifest.json | 4 +++- 3 files changed, 5 insertions(+), 3 deletions(-) diff --git a/50/33.txt b/50/33.txt index e8369e4..58f6cfc 100644 --- a/50/33.txt +++ b/50/33.txt @@ -1 +1 @@ -\v 33 Yahwe Mungu wa majeshi asema hivi: watu wa Israeli wamenyanyaswa, pamoja na watu wa Yuda. Wate waliowateka bado wanawashikilia; wanakataa kuwaacha waondoke. \v 34 Yeye awaokoaye ni mwenye nguvu. Yahwe wa majeshi ni jina lake. Kwa hakika atalitetea shitaka lao, ili kuleta pumziko katika nchi, na kuwapiga wakaao Babeli. \ No newline at end of file +\v 33 Yahwe Mungu wa majeshi asema hivi: watu wa Israeli wamenyanyaswa, pamoja na watu wa Yuda. Wote waliowateka bado wanawashikilia; wanakataa kuwaacha waondoke. \v 34 Yeye awaokoaye ni mwenye nguvu. Yahwe Mungu wa majeshi ni jina lake. Kwa hakika atalitetea shitaka lao, ili kuleta pumziko katika nchi, na kuwapiga wakaao Babeli. \ No newline at end of file diff --git a/50/35.txt b/50/35.txt index 46f5666..a871f80 100644 --- a/50/35.txt +++ b/50/35.txt @@ -1 +1 @@ -\v 35 Upanga u juu ya Wakalidayo - asema Yahwe - na juu ya wakaao Babeli, viongozi wake, na wenye hekima wake. \v 36 Upanga unakuja juu ya waganga, ili wajione kuwa wajinga. Upanga utakuwa juu ya askari wake, hivyo watajaa hofu. \v 37 Upanga utakuwa juu ya farasi wake, vibandawazi vyao na na watu wote waliomo Babeli, hivyo watakuwa kama wanawake. Upanga utakuwa juu ya ghala zake, nazo zitatekwa. \ No newline at end of file +\v 35 Upanga u juu ya Wakalidayo - asema Yahwe - na juu ya wakaao Babeli, viongozi wake, na wenye hekima wake. \v 36 Upanga unakuja juu ya waganga, ili wajione kuwa wajinga. Upanga utakuwa juu ya askari wake, hivyo watajaa hofu. \v 37 Upanga utakuwa juu ya farasi wake, vibandawazi vyao na watu wote waliomo Babeli, hivyo watakuwa kama wanawake. Upanga utakuwa juu ya ghala zake, nazo zitatekwa. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index cb385ef..fb57d70 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -601,6 +601,8 @@ "50-25", "50-27", "50-29", - "50-31" + "50-31", + "50-33", + "50-35" ] } \ No newline at end of file