Tue Sep 06 2022 12:12:14 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
56a532a869
commit
abcfb1e816
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 16 BWANA asema hivi, `Simama kwenye njia panda utazame; uliza nzile njia za zamani, 'Je, hii tabia njema iko wapi?' Kisha endelea nayo na tafuta mahali pa kupumzika. Lakini watu wanasema, 'Hatutaenda.' \v 17 Niliweka walinzi juu yenu ili wasikilize tarumbeta. Lakini walisema, 'Hatutasikiliza.' \v 18 Kwa hiyo, sikilizeni, enyi mataifa! Tazameni, enyi mashahidi, muone kile kitakachowapata. \v 19 Sikia, wewe dunia! Tazama, niko tayari kuleta janga kwa watu hawa - matunda ya fikra zao. Hawakusikiliza neno langu wala sheria zangu, badala yake walizikataa.
|
||||
\v 16 Bwana asema hivi, "Simama kwenye njia panda utazame; uliza nzile njia za zamani, 'Je, hii tabia njema iko wapi?' Kisha endelea nayo na tafuta mahali pa kupumzika. Lakini watu wanasema, 'Hatutaenda.' \v 17 Niliweka walinzi juu yenu ili wasikilize tarumbeta. Lakini walisema, 'Hatutasikiliza.' \v 18 Kwa hiyo, sikilizeni, enyi mataifa! Tazameni, enyi mashahidi, muone kile kitakachowapata. \v 19 Sikia, wewe dunia! Tazama, niko tayari kuleta janga kwa watu hawa - matunda ya fikra zao. Hawakusikiliza neno langu wala sheria zangu, badala yake walizikataa.
|
|
@ -101,6 +101,7 @@
|
|||
"06-09",
|
||||
"06-11",
|
||||
"06-13",
|
||||
"06-16",
|
||||
"26-title",
|
||||
"26-01",
|
||||
"26-04",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue