From abcfb1e81646a222e8cfd53a6ffa134306407b0e Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Tue, 6 Sep 2022 12:12:15 +0300 Subject: [PATCH] Tue Sep 06 2022 12:12:14 GMT+0300 (East Africa Time) --- 06/16.txt | 2 +- manifest.json | 1 + 2 files changed, 2 insertions(+), 1 deletion(-) diff --git a/06/16.txt b/06/16.txt index f384de9..6e8b0e7 100644 --- a/06/16.txt +++ b/06/16.txt @@ -1 +1 @@ -\v 16 BWANA asema hivi, `Simama kwenye njia panda utazame; uliza nzile njia za zamani, 'Je, hii tabia njema iko wapi?' Kisha endelea nayo na tafuta mahali pa kupumzika. Lakini watu wanasema, 'Hatutaenda.' \v 17 Niliweka walinzi juu yenu ili wasikilize tarumbeta. Lakini walisema, 'Hatutasikiliza.' \v 18 Kwa hiyo, sikilizeni, enyi mataifa! Tazameni, enyi mashahidi, muone kile kitakachowapata. \v 19 Sikia, wewe dunia! Tazama, niko tayari kuleta janga kwa watu hawa - matunda ya fikra zao. Hawakusikiliza neno langu wala sheria zangu, badala yake walizikataa. \ No newline at end of file +\v 16 Bwana asema hivi, "Simama kwenye njia panda utazame; uliza nzile njia za zamani, 'Je, hii tabia njema iko wapi?' Kisha endelea nayo na tafuta mahali pa kupumzika. Lakini watu wanasema, 'Hatutaenda.' \v 17 Niliweka walinzi juu yenu ili wasikilize tarumbeta. Lakini walisema, 'Hatutasikiliza.' \v 18 Kwa hiyo, sikilizeni, enyi mataifa! Tazameni, enyi mashahidi, muone kile kitakachowapata. \v 19 Sikia, wewe dunia! Tazama, niko tayari kuleta janga kwa watu hawa - matunda ya fikra zao. Hawakusikiliza neno langu wala sheria zangu, badala yake walizikataa. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 2fedcb6..ce09383 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -101,6 +101,7 @@ "06-09", "06-11", "06-13", + "06-16", "26-title", "26-01", "26-04",