Wed Oct 12 2022 10:31:52 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-12 10:31:53 +03:00
parent 86147699b9
commit 846244974a
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Bwana alinionyeshea kitu. Tazama, vikapu viwili vya tini viliwekwa mbele ya hekalu la Bwana. (Maono haya yalitokea baada ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, kumchukua mateka Yekonia mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, maofisa wa Yuda, mafundi na wafua vyuma kutoka Yerusalemu na kuwapeleka Babeli.) \v 2 Kikapu kimoja cha tini kilikuwa nzuri sana, kama tini za kwanza zilizoiva, lakini kikapu kingine cha tini zilizokuwa mbaya sana zisizoweza kuliwa. \v 3 Bwana akaniambia, "Unaona nini Yeremia?" Nikasema, "Tini. Tini ambazo ni nzuri sana na tini ambazo ni mbaya sana haziwezi kuliwa."
\c 24 \v 1 Bwana alinionyesha kitu. Tazama, vikapu viwili vya tini viliwekwa mbele ya hekalu la Bwana. (Maono haya yalitokea baada ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, kumchukua mateka Yekonia mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, maofisa wa Yuda, mafundi na wafua vyuma kutoka Yerusalemu na kuwapeleka Babeli.) \v 2 Kikapu kimoja cha tini kilikuwa kizuri sana, kama tini za kwanza zilizoiva, lakini kikapu kingine cha tini zilizokuwa mbaya sana zisizoweza kuliwa. \v 3 Bwana akaniambia, "Unaona nini Yeremia?" Nikasema, "Tini. Tini ambazo ni nzuri sana na tini ambazo ni mbaya sana haziwezi kuliwa."

1
24/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 24

View File

@ -294,6 +294,8 @@
"23-33",
"23-35",
"23-37",
"24-title",
"24-01",
"26-title",
"26-01",
"26-04",