Mon Nov 07 2022 11:16:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 11:16:34 +03:00
parent f4dc0f4268
commit 818183b3a8
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 61 Yeremia akamwambia Seraya, "Unapokwenda Babeli, utaoahakikisha unayasoma maneno haya yote. \v 62 Nawe utasema, 'Yahwe, wewe! - wewe mwenyewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa. Hapatakuwa na wa kukaa, kwamba ni watu au wanyama. Patakuwa nchi isiyofaa daima.'
\v 61 Yeremia akamwambia Seraya, "Unapokwenda Babeli, utaoa na kuhakikisha unayasoma maneno haya yote. \v 62 Nawe utasema, 'Yahwe, wewe!, wewe mwenyewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa. Hapatakuwa na wa kukaa, kwamba ni watu au wanyama. Patakuwa nchi isiyofaa daima.'