Mon Nov 07 2022 11:14:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 11:14:34 +03:00
parent 6032676840
commit f4dc0f4268
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 59 Hili ndilo neno ambalo Yeremia nabii alimwamru Seraya mwana wa Neria mwana wa Makseya alipokwenda na Sedekia mfalme wa Yuda huko Babeli katika mwaka wa nne wa kutawala kwake. Basi Seraya alikuwa afsa mwandamizi. \v 60 Maana Yeremia alikuwa ameandika katika gombo kuhusu madhara yote yaliyokuwa yakienda kutendeka juu ya Babeli--maneno haya yote yaliyokuwa yameandikwa juu ya Babeli
\v 59 Hili ndilo neno ambalo Yeremia nabii alimwamru Seraya mwana wa Neria mwana wa Makseya alipokwenda na Sedekia mfalme wa Yuda huko Babeli katika mwaka wa nne wa kutawala kwake. Basi Seraya alikuwa afsa mwandamizi. \v 60 Maana Yeremia alikuwa ameandika katika gombo kuhusu madhara yote yaliyokuwa yakienda kutendeka juu ya Babeli--maneno haya yote yaliyokuwa yameandikwa juu ya Babeli.

View File

@ -1 +1 @@
\v 61 Yeremia akamwambia Seraya, "Unapokwenda Babeli, hakikisha unayasoma maneno haya yote. \v 62 Nawe utasema, 'Yahwe, wewe! - wewe mwenyewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa. Hapatakuwa na wa kukaa, kwamba ni watu au wanyama. Patakuwa nchi isiyofaa daima.'
\v 61 Yeremia akamwambia Seraya, "Unapokwenda Babeli, utaoahakikisha unayasoma maneno haya yote. \v 62 Nawe utasema, 'Yahwe, wewe! - wewe mwenyewe umesema kwamba utapaharibu mahali hapa. Hapatakuwa na wa kukaa, kwamba ni watu au wanyama. Patakuwa nchi isiyofaa daima.'

View File

@ -185,6 +185,7 @@
"51-50",
"51-52",
"51-54",
"51-57"
"51-57",
"51-59"
]
}