Tue Aug 09 2022 20:11:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-09 20:11:45 +03:00
parent 86b683a0f4
commit 7afe0d2bfa
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Makuhani, manabii, na watu wote wakamsikia Yeremia akitangaza maneno haya katika nyumba ya Yahwe. \v 8 Kwa hiyo ikatokea kwamba Yeremia alipomaliza kutangaza aliyokuwa Yahwe alimwwamuru kuyasema kwa watu wote, makuhani, manabii, na watu wote wakamsimamisha na kusema, "Hakika utakufa! \v 9 Kwa nini umetabiri katika jina la Yahwe na kusema kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa, pasipo wakaaji?" Kwa maana watu wote wameunda kundi dhidi ya nyumba ya Yeremia.
\v 7 Makuhani, manabii, na watu wote wakamsikia Yeremia akitangaza maneno haya katika nyumba ya Yahwe. \v 8 Kwa hiyo ikatokea kwamba Yeremia alipomaliza kutangaza aliyokuwa Yahwe amemwamuru kuyasema kwa watu wote, makuhani, manabii, na watu wote wakamsimamisha na kusema, "Hakika utakufa! \v 9 Kwa nini umetabiri katika jina la Yahwe na kusema kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa, pasipo wakaaji?" Kwa maana watu wote wameunda kundi dhidi ya nyumba ya Yeremia.