Mon Nov 07 2022 11:08:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 11:08:34 +03:00
parent e20cf6ea4d
commit 5384da14e0
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, watawala wake, na wakuu wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka--hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utaangushwa kabisa, na malango marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto."
\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, watawala wake, na wakuu wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka--hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utabomolewa kabisa, na malango yake marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto."