From 5384da14e007c1dccd32c7182578f83d2ffbf275 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Mon, 7 Nov 2022 11:08:34 +0300 Subject: [PATCH] Mon Nov 07 2022 11:08:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 51/57.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/51/57.txt b/51/57.txt index 5722662..3d60a54 100644 --- a/51/57.txt +++ b/51/57.txt @@ -1 +1 @@ -\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, watawala wake, na wakuu wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka--hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utaangushwa kabisa, na malango marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto." \ No newline at end of file +\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, watawala wake, na wakuu wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka--hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utabomolewa kabisa, na malango yake marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto." \ No newline at end of file