Mon Nov 07 2022 20:07:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 20:07:34 +03:00
parent 9bd38a7c85
commit 50c6616e4e
8 changed files with 15 additions and 35 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 16 Na kwa hofu yenu, kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wakaaji wa maeneo ya majabali, ninyi mliomiliki vilele vya vilima ili mfanye viota vyenu kama tai. Nitawashusha kutoka huko--asema Yahwe.
=======
\v 16 Na kwa hofu yenu, kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wakaaji wa maeneo ya mwinuko, ninyi mliomiliki vilele vya vilima ili mfanye viota vyenu kama tai. Nitawashusha kutoka huko - asema Yahwe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 16 Na kwa hofu yenu, kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wakaaji wa maeneo ya majabali, ninyi mliomiliki vilele vya vilima ili mfanye viota vyenu kama tai. Nitawashusha kutoka huko--asema Yahwe.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 20 Hivyo sikiliza mipango ambayo Yahwe ameamua dhidi ya Edom, mipango aliyoifanya kinyume cha wakaao Temani. Bila shaka wataondolewa, hata kundi dogo kuliko yote. Nchi yao yenye malisho yao mabichi itageuzwa kuwa sehemu zenye magofu.
=======
\v 20 Hivyo sikiliza mipango ambayo Yahwe ameamua dhidi ya Edomu, mipango aliyoifanya kinyume cha wakaao Temani. Bila shaka wataondolewa, hata kundi ndogo kuliko yote. Nchi yao yenye malisho yao mabichi itageuzwa kuwa sehemu zenye magofu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 20 Hivyo sikiliza mipango ambayo Yahwe ameamua dhidi ya Edom, mipango aliyoifanya kinyume cha wakaao Temani. Bila shaka wataondolewa, hata kundi dogo kuliko yote. Nchi yao yenye malisho yao mabichi itageuzwa kuwa sehemu zenye magofu.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao nchi hutikisika. Sauti ya milio ya kukata tamaa inasikika katika Bahari ya Shamu. \v 22 Tazama, mtu fulani atapiga kama tai, na kushuka chini kwa kasi na kutandaza mabawa yake juu ya Bozra. Kisha katika siku hiyo, mioyo ya askari wa Edomu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika kuzaa."
=======
\v 21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao nchi hutikisika. Sauti ya milio ya kukata tamaa inasikika katika Bahari ya Shamu. \v 22 Tazama, mtu fulani atapiga kama tai, na kushuka chini kwa kasi na kueneza mabawa yake juu ya Bozra. Kisha katika siku hiyo, mioyo ya askari wa Edomu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika kuzaa."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao nchi hutikisika. Sauti ya milio ya kukata tamaa inasikika katika Bahari ya Shamu. \v 22 Tazama, mtu fulani atapiga kama tai, na kushuka chini kwa kasi na kutandaza mabawa yake juu ya Bozra. Kisha katika siku hiyo, mioyo ya askari wa Edomu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika kuzaa."

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 23 Juu ya Dameski: "Hamathi na Arpadi zitaaibika, maana wamesikia habari ya madhara. Wanayeyuka! Wamesumbuka kama bahari, isiyotulia. \v 24 Dameski umekuwa dhaifu sana. Unageuka kukimbia; hofu imeushika, Maangaiko na maumivu yameupata, kama uchungu wa mwanamke ajifunguaye. \v 25 Watu wake wanasema, "Umekuwaje mji maarufu, mji ambao nimeufurahia, kabla haujaachwa?
=======
\v 23 Juu ya Dameski: "Hamathi na Arpadi zitaaibika, maana wamesikia habari ya madhara. Wanayeyuka! Wamesumbuka kama bahari, isiyotulia. \v 24 Dameski umekuwa dhaifu sana. Unageuka kukimbia; hofu imeushika, Mahangaiko na maumivu yameupata, kama uchungu wa mwanamke ajifunguaye. \v 25 Watu wake wanasema, "Umekuwaje mji maarufu, mji ambao nimeufurahia, kabla haujaachwa?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 23 Juu ya Dameski: "Hamathi na Arpadi zitaaibika, maana wamesikia habari ya madhara. Wanayeyuka! Wamesumbuka kama bahari, isiyotulia. \v 24 Dameski umekuwa dhaifu sana. Unageuka kukimbia; hofu imeushika, Maangaiko na maumivu yameupata, kama uchungu wa mwanamke ajifunguaye. \v 25 Watu wake wanasema, "Umekuwaje mji maarufu, mji ambao nimeufurahia, kabla haujaachwa?

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 26 Kwa hiyo vijana wake wataanguka katika mitaa yake na askari wake wote watateketea siku hiyo--hili ni tamko la Yahwe wa majeshi." \v 27 "Maana nitawasha moto katika kuta za Dameski, nami nitazivunja ngome za Beni-Hadadi."
=======
\v 26 Kwa hiyo vijana wake wataanguka katika mitaa yake na askari wake wote watateketea siku hiyo - hili ni tamko la Yahwe Mungu wa majeshi." \v 27 "Maana nitawasha moto katika kuta za Dameski, nami nitazivunja ngome za Beni Hadadi."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 26 Kwa hiyo vijana wake wataanguka katika mitaa yake na askari wake wote watateketea siku hiyo--hili ni tamko la Yahwe wa majeshi." \v 27 "Maana nitawasha moto katika kuta za Dameski, nami nitazivunja ngome za Beni-Hadadi."

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 28 Juu ya Kedari na falme za Hazori, Yahwe amwambia hivi Nebukadneza (Basi Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa akienda kuyashambulia maeneo haya): "Inuka na uipige Kedari na kuwaharibu wale watu wa mashariki. \v 29 Jeshi lake litachukua hema zao na makundi yao, nguzo za hema yao, na vitu vyao vyote. Watachukua ngamia wao kutoka kwa watu wa Kedari na kuwambia, 'Hofu ipo pande zote!"
=======
\v 28 Juu ya Kedari na falme za Hazori, Yahwe amwambia hivi Nebukadneza (Basi Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa akienda kuyashambulia maeneo haya): "Inuka na uipige Kedari na kuwaharibu wale watu wa mashariki. \v 29 Jeshi lake litachukua hema zao na makundi yao, nguzo za hema yao, na vitu vyao vyote. Watachukua ngamia wao kutoka kwa watu wa Kedari na kuwaambia, 'Hofu ipo pande zote!"
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 28 Juu ya Kedari na falme za Hazori, Yahwe amwambia hivi Nebukadneza (Basi Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa akienda kuyashambulia maeneo haya): "Inuka na uipige Kedari na kuwaharibu wale watu wa mashariki. \v 29 Jeshi lake litachukua hema zao na makundi yao, nguzo za hema yao, na vitu vyao vyote. Watachukua ngamia wao kutoka kwa watu wa Kedari na kuwambia, 'Hofu ipo pande zote!"

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 30 Kimbia! Tangatanga mbali! Kaa katika maandaki ardhini, mkaao Hazori--asema Yahwe--maana Nebukadneza mfalme wa Babeli amepanga mpango kinyume chenu. Kimbieni! Geukeni! \v 31 Inuka! lishambulie taifa lililokatika amani, waishio salama," asema Yahwe. "Hawana malango wala nguzo ndani yao, na watu wake wanakaa wenyewe."
=======
\v 30 Kimbia, Tangatanga mbali! Kaa katika mahandaki ardhini, mkaao Hazori - asema Yahwe - maana Nebukadneza mfalme wa Babeli amepanga mpango kinyume chenu. Kimbieni! Geukeni! \v 31 Simama! lishambulie taifa lililokatika amani, waishio salama," asema Yahwe. Hawana malango wala nguzo ndani yao, na watu wake wanakaa wenyewe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 30 Kimbia! Tangatanga mbali! Kaa katika maandaki ardhini, mkaao Hazori--asema Yahwe--maana Nebukadneza mfalme wa Babeli amepanga mpango kinyume chenu. Kimbieni! Geukeni! \v 31 Inuka! lishambulie taifa lililokatika amani, waishio salama," asema Yahwe. "Hawana malango wala nguzo ndani yao, na watu wake wanakaa wenyewe."

View File

@ -326,9 +326,17 @@
"49-05",
"49-07",
"49-09",
"49-12",
"49-14",
"49-16",
"49-17",
"49-19",
"49-20",
"49-21",
"49-23",
"49-26",
"49-28",
"49-30",
"50-title",
"50-01",
"50-19",