Tue Aug 30 2022 15:56:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-30 15:56:04 +03:00
parent bc17740cc8
commit 1277352c94
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Yeremia akasema, "Neno la Yahwe likaja kwangu, likisema, Angalia, Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako anakuja kwako na atasema, \v 7 "Linunue shamba langu ambalo liko katika Anathothi kwa ajili yako, kwa maana haki ya kununua ni yako.""
\v 6 Yeremia akasema, "Neno la Yahwe lilinijia, likisema, Angalia, Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako anakuja kwako na atasema, \v 7 "Linunue shamba langu ambalo liko katika Anathothi kwa ajili yako, kwa maana haki ya kununua ni yako.""

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Kisha, kama Yahwe alivyotangaza, Hanameli, mwana wa mjomba wangu, akaja kwangu katika uwanja wa walinzi, na akasema kwangu, 'Linunue shamba langu kwa ajili yako ambalo liko Anathothi katika nchi ya Benyamini, kwa maana haki ya urithi ni ya kwako, na haki ya kulinunua ni yako. Linunue kwa ajili yako.' Kisha nilijua kuwa hili lilikuwa neno la Yahwe. \v 9 Kwa hiyo nililinua shamba katika Anathothi kutoka kwa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na nilipima fedha kwa ajili yake, shekeli kumi na saba katika uzito.
\v 8 Kisha, kama Yahwe alivyotangaza, Hanameli, mwana wa mjomba wangu, akaja kwangu katika uwanja wa walinzi, na akasema kwangu, 'Linunue shamba langu kwa ajili yako ambalo liko Anathothi katika nchi ya Benyamini, kwa maana haki ya urithi ni yako, na haki ya kulinunua ni yako. Linunue kwa ajili yako.' Kisha nilijua kuwa hili lilikuwa neno la Yahwe. \v 9 Kwa hiyo nililinua shamba katika Anathothi kutoka kwa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na nilipima fedha kwa ajili yake, shekeli kumi na saba katika uzito.

View File

@ -109,6 +109,7 @@
"31-38",
"32-title",
"32-01",
"32-03"
"32-03",
"32-06"
]
}