diff --git a/32/06.txt b/32/06.txt index 439bc7a..ab2f543 100644 --- a/32/06.txt +++ b/32/06.txt @@ -1 +1 @@ -\v 6 Yeremia akasema, "Neno la Yahwe likaja kwangu, likisema, Angalia, Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako anakuja kwako na atasema, \v 7 "Linunue shamba langu ambalo liko katika Anathothi kwa ajili yako, kwa maana haki ya kununua ni yako."" \ No newline at end of file +\v 6 Yeremia akasema, "Neno la Yahwe lilinijia, likisema, Angalia, Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako anakuja kwako na atasema, \v 7 "Linunue shamba langu ambalo liko katika Anathothi kwa ajili yako, kwa maana haki ya kununua ni yako."" \ No newline at end of file diff --git a/32/08.txt b/32/08.txt index 8a1a6a7..379f497 100644 --- a/32/08.txt +++ b/32/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 Kisha, kama Yahwe alivyotangaza, Hanameli, mwana wa mjomba wangu, akaja kwangu katika uwanja wa walinzi, na akasema kwangu, 'Linunue shamba langu kwa ajili yako ambalo liko Anathothi katika nchi ya Benyamini, kwa maana haki ya urithi ni ya kwako, na haki ya kulinunua ni yako. Linunue kwa ajili yako.' Kisha nilijua kuwa hili lilikuwa neno la Yahwe. \v 9 Kwa hiyo nililinua shamba katika Anathothi kutoka kwa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na nilipima fedha kwa ajili yake, shekeli kumi na saba katika uzito. \ No newline at end of file +\v 8 Kisha, kama Yahwe alivyotangaza, Hanameli, mwana wa mjomba wangu, akaja kwangu katika uwanja wa walinzi, na akasema kwangu, 'Linunue shamba langu kwa ajili yako ambalo liko Anathothi katika nchi ya Benyamini, kwa maana haki ya urithi ni yako, na haki ya kulinunua ni yako. Linunue kwa ajili yako.' Kisha nilijua kuwa hili lilikuwa neno la Yahwe. \v 9 Kwa hiyo nililinua shamba katika Anathothi kutoka kwa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na nilipima fedha kwa ajili yake, shekeli kumi na saba katika uzito. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index fe5a359..0ec3593 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -109,6 +109,7 @@ "31-38", "32-title", "32-01", - "32-03" + "32-03", + "32-06" ] } \ No newline at end of file