Sun Nov 06 2022 16:50:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-06 16:50:28 +03:00
parent 3d00c6d3aa
commit 116199fc3f
4 changed files with 5 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Wewe ni nyundo ya vita yao, silaha ya vita yangu. Kwako nitawaponda mataifa na kuharibu falme. \v 21 Kwako nitaponda farasi na wawapandao; kwa wewe nitaponda magari ya vita na madereva wake.
\v 20 Wewe ni nyundo ya vita yao, silaha ya vita yangu. Kwako wewe nitawaponda mataifa na kuharibu falme. \v 21 Kwako wewe nitaponda farasi na wawapandao; kwako wewe nitaponda magari ya vita na madereva wake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Kwako nitawafutilia mbali mme na mke; kwako wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwako wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwako nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwako wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwa wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa.
\v 22 Kwako wewe nitawafutilia mbali mme na mke; kwako wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwako wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwako wewe nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwako wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwako wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa.

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Maana mbele yako nitamlipa Babeli na wote wakaao Ukaldayo kwa maovu yote waliyoyafanya huko Sayuni - hili ni tamko la Yahwe.
\v 24 Maana mbele yako nitamlipa Babeli na wote wakaao Ukaldayo kwa maovu yote waliyoyafanya huko Sayuni--hili ni tamko la Yahwe.

View File

@ -167,6 +167,7 @@
"51-13",
"51-15",
"51-17",
"51-20"
"51-20",
"51-22"
]
}