diff --git a/51/20.txt b/51/20.txt index af62815..1f736aa 100644 --- a/51/20.txt +++ b/51/20.txt @@ -1 +1 @@ -\v 20 Wewe ni nyundo ya vita yao, silaha ya vita yangu. Kwako nitawaponda mataifa na kuharibu falme. \v 21 Kwako nitaponda farasi na wawapandao; kwa wewe nitaponda magari ya vita na madereva wake. \ No newline at end of file +\v 20 Wewe ni nyundo ya vita yao, silaha ya vita yangu. Kwako wewe nitawaponda mataifa na kuharibu falme. \v 21 Kwako wewe nitaponda farasi na wawapandao; kwako wewe nitaponda magari ya vita na madereva wake. \ No newline at end of file diff --git a/51/22.txt b/51/22.txt index ace2947..21f1862 100644 --- a/51/22.txt +++ b/51/22.txt @@ -1 +1 @@ -\v 22 Kwako nitawafutilia mbali mme na mke; kwako wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwako wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwako nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwako wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwa wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa. \ No newline at end of file +\v 22 Kwako wewe nitawafutilia mbali mme na mke; kwako wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwako wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwako wewe nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwako wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwako wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa. \ No newline at end of file diff --git a/51/24.txt b/51/24.txt index 478166b..e0f80b0 100644 --- a/51/24.txt +++ b/51/24.txt @@ -1 +1 @@ -\v 24 Maana mbele yako nitamlipa Babeli na wote wakaao Ukaldayo kwa maovu yote waliyoyafanya huko Sayuni - hili ni tamko la Yahwe. \ No newline at end of file +\v 24 Maana mbele yako nitamlipa Babeli na wote wakaao Ukaldayo kwa maovu yote waliyoyafanya huko Sayuni--hili ni tamko la Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index ade8e01..12720ff 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -167,6 +167,7 @@ "51-13", "51-15", "51-17", - "51-20" + "51-20", + "51-22" ] } \ No newline at end of file