sw_jer_text_reg/51/22.txt

1 line
335 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 22 Kwako wewe nitawafutilia mbali mme na mke; kwako wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwako wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwako wewe nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwako wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwako wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa.