\v 22 Kwako wewe nitawafutilia mbali mme na mke; kwako wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwako wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwako wewe nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwako wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwako wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa.
=======
\v 22 Kwa wewe nitawafutilia mbali mwanamume na mwanamke; kwa wewe nitafutilia mbali mzee na kijana. Kwa wewe nitafutilia mbali kijana wa kiume na wasichana bikra. \v 23 Kwa wewe nitafutilia mbali wachungaji na makundi yao; kwa wewe nitawafutilia mbali wakulima na jozi zao za kulimia. kwa wewe nitawafutilia mbali watawala na maafsa.