sw_jer_text_reg/48/08.txt

1 line
372 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 8 Kwani mwaribu atakuja kwa mji; hakuna mji utakaojiepusha. Hivyo bonde litaangamia na tambarare itateketezwa, kama alivyosema Yahwe. \v 9 Mpeni Moabu mabawa, maana ni lazima aruke mbali bila shaka. Miji yake itakuwa magofu, pasipo mtu wa kuishi humo. \v 10 Na alaaniwe kila aliye mvivu katika kufanya kazi ya Yahwe! Na alaaniwe kila auzuiaye upanga wake usimwage damu!