sw_jer_text_reg/48/01.txt

1 line
377 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\c 48 \v 1 Juu ya Moabu, Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, "Ole kwa Nebo, kwani umekuwa ukiwa. Kiriathaimu umetekwa na kuaibishwa. Ngome zake zimefadhahishwa na kuaibishwa. \v 2 Heshima ya Moabu haipo tena. Adui zake katika Heshboni walipanga njama za kumwangamiza. Walisema, 'Njoni tumwangamize kama taifa. Madmena pia itaangamizwa--upanga utakwenda mbele yako.'