Tue Jul 05 2022 18:28:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 18:28:12 +03:00
parent c0a85fc2ee
commit 80c112fe86
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Farao alipo karibia, Waisraeli walitaza juu na kushangaa. Wamisri walikuwa wakija kwao, na waliogopa. Waisraeli walimlilia Yahweh. \v 11 Walimwambia Musa, "Ni kwasababu hakukuwa na makaburi Misri, hadi umetuleta tufe huku nyikani? Kwanini umetutendea hivi, kwa kututoa Misri? \v 12 Hili si ndilo tulilo kwambia Misri? Tulikwambia, 'Utuache, ili tuwafanyie Wamisri kazi.' Ingekuwa bora kwetu sisi kuwafanyia kazi kuliko kufa nyikani."
\v 10 Farao alipo karibia, Waisraeli walitazama juu na kushangaa. Wamisri walikuwa wakija kwao, na waliogopa. Waisraeli walimlilia Yahweh. \v 11 Walimwambia Musa, "Ni kwasababu hakukuwa na makaburi Misri, hadi umetuleta tufe huku nyikani? Kwanini umetutendea hivi, kwa kututoa Misri? \v 12 Hili si ndilo tulilo kwambia Misri? Tulikwambia, 'Utuache, ili tuwafanyie Wamisri kazi.' Ingekuwa bora kwetu sisi kuwafanyia kazi kuliko kufa nyikani."

View File

@ -189,6 +189,7 @@
"13-19",
"14-title",
"14-01",
"14-04"
"14-04",
"14-06"
]
}