sw_exo_text_reg/14/06.txt

1 line
509 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 6 Kisha Farao akachukua magari yake ya farasi na jeshi lake. \v 7 Alichukua magari ya farasi mia sita imara na magari yote ya farasi ya Misri, pamoja na maafisa wa hayo magari. \v 8 Yahweh akaufanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, na mfalme akawafukuzia Waisraeli. Sasa Waisraeli waliondoka kwa shangwe. \v 9 Lakini Wamisri wali wafukuzia, pamoja na farasi na magari ya farasi, wapanda farasi, na jeshi lake. Walikuta Waisraeli wameeka kambi pembezoni mwa bahari kati ya Pi Hahirothi na Baali Zefoni.