Thu Nov 03 2022 13:46:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 13:46:22 +03:00
parent 62aae4a8ba
commit d9c6a6cfcc
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Hamani akaenda nyumbani kwakwe huku akiwa amejawa na furaha moyoni mwake. Lakini alipomwona Modekai katika lango la mfalme, modekai hasimami wala kutetemeka mbele zake, alijawa na ghadhabu kwa ajili ya Modekai. \v 10 Lakini akajizuia na akaenda nyumbani kwake. Akawaarika marafiki zake wakakusanyika pamoja na Zereshi, mkewe. \v 11 Hamani akawaeleza juu ya utukufu wa mali na idadi ya watoto aliokuwa nao, na vile alivyo juu kuliko wasimamizi na watumishi wote wa mfalme.
\v 9 Hamani akaenda nyumbani kwakwe huku akiwa amejawa na furaha moyoni mwake. Lakini alipomwona Modekai katika lango la mfalme, modekai hasimami wala kutetemeka mbele zake, alijawa na ghadhabu kwa ajili ya Modekai. \v 10 Lakini akajizuia na akaenda nyumbani kwake. Akawaalika marafiki zake wakakusanyika pamoja na Zereshi, mkewe. \v 11 Hamani akawaeleza juu ya utukufu wa mali na idadi ya watoto aliokuwa nao, na vile alivyo juu kuliko wasimamizi na watumishi wote wa mfalme.

View File

@ -75,6 +75,7 @@
"04-15",
"05-01",
"05-03",
"05-05"
"05-05",
"05-07"
]
}