Thu Nov 03 2022 13:44:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 13:44:22 +03:00
parent 70b37cb05d
commit 62aae4a8ba
2 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Baada ya siku tatu, Esta akajivika mavazi yake ya kimalkia na akasimama sehemu ya ndani ya ua wa ikulu ya mfalme, mbele ya nyumba ya mfalme. mfalme alikuwa ameketi katika kiti chake cha enzi na akitazama mlango wa kuingilia. \v 2 Mfalme alipomwona malkia Esta alipata kibali kwa mfalme. Alimpa fimbo ya dhahabu mikononi mwa Esta. Hivyo Esta akamsogelea mfalme na kuishika fimbo ya utawala.
\c 5 \v 1 Baada ya siku tatu, Esta akajivika mavazi yake ya kimalkia na akasimama sehemu ya ndani ya ua wa ikulu ya mfalme, mbele ya nyumba ya mfalme. mfalme alikuwa ameketi katika kiti chake cha enzi, na akitazama mlango wa kuingilia. \v 2 Mfalme alipomwona malkia Esta, alipata kibali kwa mfalme. Alimpa fimbo ya dhahabu mikononi mwa Esta. Hivyo Esta akamsogelea mfalme na kuishika fimbo ya utawala.

View File

@ -72,6 +72,9 @@
"04-06",
"04-09",
"04-13",
"04-15"
"04-15",
"05-01",
"05-03",
"05-05"
]
}