Thu Nov 03 2022 13:50:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 13:50:22 +03:00
parent c7180e9a9a
commit 8c7bdf61e3
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Usiku ule mfalme hakupata usingizi. Akaagiza vitabu vya kumbukumbu vya matukio ya ufalme wake viletwe na visomwe mbele zake. Vitabu visomwa kwa sauti mbele ya mfalme. \v 2 Ikakutwa kuwa Modekai alikuwa ametoa taarifa kuhusu Bighana na Tereshi, walinzi walio linda lango, waliokuwa wamepanga kumuangamiza Mfalme Ahusiero. \v 3 Kisha mfalme akauliza, Modekai alifanyiwa nini cha heshima kwa kwa taarifa aliyoitoa? Ndipo watumishi wa mfalme wakamwambia, "Hakufanyiwa kitu chochote."
\c 6 \v 1 Usiku ule mfalme hakupata usingizi. Akaagiza vitabu vya kumbukumbu vya matukio ya ufalme wake viletwe na visomwe mbele zake. Vitabu visomwa kwa sauti mbele ya mfalme. \v 2 Ikakutwa kuwa Modekai alikuwa ametoa taarifa kuhusu Bighana na Tereshi, walinzi walio linda lango, waliokuwa wamepanga kumuangamiza Mfalme Ahusiero. \v 3 Kisha mfalme akauliza, Modekai alifanyiwa nini cha heshima kwa taarifa aliyoitoa? Ndipo watumishi wa mfalme wakamwambia, "Hakufanyiwa kitu chochote."

View File

@ -79,6 +79,7 @@
"05-07",
"05-09",
"05-12",
"05-14"
"05-14",
"06-01"
]
}