diff --git a/06/01.txt b/06/01.txt index 372a5dd..9506228 100644 --- a/06/01.txt +++ b/06/01.txt @@ -1 +1 @@ -\v 1 Usiku ule mfalme hakupata usingizi. Akaagiza vitabu vya kumbukumbu vya matukio ya ufalme wake viletwe na visomwe mbele zake. Vitabu visomwa kwa sauti mbele ya mfalme. \v 2 Ikakutwa kuwa Modekai alikuwa ametoa taarifa kuhusu Bighana na Tereshi, walinzi walio linda lango, waliokuwa wamepanga kumuangamiza Mfalme Ahusiero. \v 3 Kisha mfalme akauliza, Modekai alifanyiwa nini cha heshima kwa kwa taarifa aliyoitoa? Ndipo watumishi wa mfalme wakamwambia, "Hakufanyiwa kitu chochote." \ No newline at end of file +\c 6 \v 1 Usiku ule mfalme hakupata usingizi. Akaagiza vitabu vya kumbukumbu vya matukio ya ufalme wake viletwe na visomwe mbele zake. Vitabu visomwa kwa sauti mbele ya mfalme. \v 2 Ikakutwa kuwa Modekai alikuwa ametoa taarifa kuhusu Bighana na Tereshi, walinzi walio linda lango, waliokuwa wamepanga kumuangamiza Mfalme Ahusiero. \v 3 Kisha mfalme akauliza, Modekai alifanyiwa nini cha heshima kwa taarifa aliyoitoa? Ndipo watumishi wa mfalme wakamwambia, "Hakufanyiwa kitu chochote." \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index bbdcdaa..ed66755 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -79,6 +79,7 @@ "05-07", "05-09", "05-12", - "05-14" + "05-14", + "06-01" ] } \ No newline at end of file