sw_deu_text_reg/32/48.txt

1 line
269 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 48 Yahwe alizungumza na Musa katika siku hiyo hiyo na kusema, \v 49 “Nenda katika usawa huu wa milima wa Abarimu, juu ya mlima wa Nebo, ambao upo katika nchi ya Moabu, mkabala na Yeriko. Utatazama nchi ya Kanani, ambayo ninawapatia watu wa Israeli kama miliki yao.