sw_deu_text_reg/26/10.txt

1 line
328 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 10 Tazama sasa, nimeleta mavuno ya kwanza kutoka katika nchi ambayo wewe, Yahwe, umenipatia. ” Unapaswa kuweka chini mbele ya Yahwe Mungu wako na kuabudu mbele zake; \v 11 na unapaswa kufurahia katika mema yote ambayo Yahwe Mungu wako amekufanyia, kwa ajili na nyumba yako wewe, na Mlawi, na mgeni aliye miongoni mwako.