sw_deu_text_reg/28/03.txt

1 line
206 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 3 Utabarikiwa ndani ya mji, na utabarikiwa shambani. \v 4 Matunda ya mwili wako yatabarikiwa, na matunda ya ardhi yako, na matunda ya wanyama wako, ongezeko la ngombe wako, na wachanga wa mifugo wako.