sw_deu_text_reg/32/14.txt

1 line
257 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 14 Alikula siagi kutoka katika kundi na kunywa maziwa kutoka katika kundi la mifugo, pamoja na mafuta ya wanakondoo, kondoo dume wa Bashani na mbuzi, pamoja na ngano safi kabisa nawe ulikunywa divai itokayo povu iliyotengenezwa kwa juisi ya mizabibu.