sw_deu_text_reg/27/15.txt

1 line
189 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 15 “Alaaniwe mwanamume atakayechonga sanamu au kinyago, chukizo kwa Yahwe, kazi ya mikono ya fundi, ambayo ataifanya sirini”. Kisha watu wote wanapaswa kujibu na kusema, Amina.