sw_deu_text_reg/28/16.txt

1 line
132 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 16 Utalaaniwa utakapokuwa mjini, na utalaaniwa utakapokuwa shambani. \v 17 Kitalaaniwa kikapu chako na chombo chako cha kukandia.