Thu Jan 26 2023 17:40:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 17:40:33 +03:00
parent 0c0a1b8c69
commit f5e22ea9a1
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Miaka sabini na saba zimeamriwa kwa ajili ya watu wako na mji wako mtakatifu kukomesha hatia na kumaliza dhambi, na kuleta haki ya milele, na kutimiza maono na unabii, na kupaweka wakfu mahali patakatifu sana. \v 25 Ujue na kufahamu kuwa tangu kupitishwa kwa amri ya kurejesha na kuujenga upya Yerusalemu mpaka ujio wa mpakwa mafuta (atakayekuwa kiongozi), kutakuwa na majuma saba na majuma sitini na mbili. Yerusalemu itajengwa pamoja na mitaa yake na handaki, licha ya kuwepo kwa nyakati za shida
\v 24 Miaka sabini na saba zimeamriwa kwa ajili ya watu wako na mji wako mtakatifu kukomesha hatia na kumaliza dhambi, na kuleta haki ya milele, na kutimiza maono na unabii, na kupaweka wakfu mahali patakatifu sana. \v 25 Ujue na kufahamu kuwa tangu kupitishwa kwa amri ya kuurejesha na kuujenga upya Yerusalemu mpaka ujio wa mpakwa mafuta (atakayekuwa kiongozi), kutakuwa na majuma saba na majuma sitini na mbili. Yerusalemu itajengwa pamoja na mitaa yake na handaki, licha ya kuwepo kwa nyakati za shida