From f5e22ea9a180a0131164ad4c62e40aa87853f42b Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 26 Jan 2023 17:40:33 +0300 Subject: [PATCH] Thu Jan 26 2023 17:40:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 09/24.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/09/24.txt b/09/24.txt index c94bdf8..3376bce 100644 --- a/09/24.txt +++ b/09/24.txt @@ -1 +1 @@ -\v 24 Miaka sabini na saba zimeamriwa kwa ajili ya watu wako na mji wako mtakatifu kukomesha hatia na kumaliza dhambi, na kuleta haki ya milele, na kutimiza maono na unabii, na kupaweka wakfu mahali patakatifu sana. \v 25 Ujue na kufahamu kuwa tangu kupitishwa kwa amri ya kurejesha na kuujenga upya Yerusalemu mpaka ujio wa mpakwa mafuta (atakayekuwa kiongozi), kutakuwa na majuma saba na majuma sitini na mbili. Yerusalemu itajengwa pamoja na mitaa yake na handaki, licha ya kuwepo kwa nyakati za shida \ No newline at end of file +\v 24 Miaka sabini na saba zimeamriwa kwa ajili ya watu wako na mji wako mtakatifu kukomesha hatia na kumaliza dhambi, na kuleta haki ya milele, na kutimiza maono na unabii, na kupaweka wakfu mahali patakatifu sana. \v 25 Ujue na kufahamu kuwa tangu kupitishwa kwa amri ya kuurejesha na kuujenga upya Yerusalemu mpaka ujio wa mpakwa mafuta (atakayekuwa kiongozi), kutakuwa na majuma saba na majuma sitini na mbili. Yerusalemu itajengwa pamoja na mitaa yake na handaki, licha ya kuwepo kwa nyakati za shida \ No newline at end of file