Tue Jan 17 2023 13:58:54 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
166bf20dfa
commit
ee1898a010
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 7 Kisha walikuja wachawi, wale ambao hudai kuzungumza na wafu, watu wenye hekima, na wasoma nyota. Niliwaambia juu ya ndoto, lakini hawakuweza kunitafsiria. \v 8 Bali mwishoni Danieli aliingia ndani - yeye ambaye huitwa Belteshaza jina la muungu wangu, na ambaye ndani yake kuna roho ya miungu mitakatifu - na nilimwambia juu ya ndoto. \v 9 "Belteshaza, mkuu wa wachawi, ninajua kuwa roho ya miungu watakatifu iko ndani yako na ya kwamba hakuna siri iliyo ngumu kwako. Niambie kile nilichokiona katika ndoto yangu na nini maana yake.
|
||||
\v 7 Kisha walikuja wachawi, wale ambao hudai kuzungumza na wafu, watu wenye hekima, na wasoma nyota. Niliwaambia juu ya ndoto, lakini hawakuweza kunitafsiria. \v 8 Bali mwishoni Danieli aliingia ndani - yeye ambaye huitwa Belteshaza jina la muungu wangu, na ambaye ndani yake kuna roho ya miungu mitakatifu - na nilimwambia juu ya ndoto. \v 9 "Belteshaza, mkuu wa wachawi, ninajua kuwa roho ya miungu watakatifu iko ndani yako na ya kwamba hakuna siri iliyo ngumu kwako. Niambie kile nilichokiona katika ndoto yangu na nini tafsiri yake.
|
|
@ -88,6 +88,7 @@
|
|||
"03-29",
|
||||
"04-title",
|
||||
"04-01",
|
||||
"04-04"
|
||||
"04-04",
|
||||
"04-07"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue