diff --git a/04/07.txt b/04/07.txt index 7950a5c..2fa06f7 100644 --- a/04/07.txt +++ b/04/07.txt @@ -1 +1 @@ -\v 7 Kisha walikuja wachawi, wale ambao hudai kuzungumza na wafu, watu wenye hekima, na wasoma nyota. Niliwaambia juu ya ndoto, lakini hawakuweza kunitafsiria. \v 8 Bali mwishoni Danieli aliingia ndani - yeye ambaye huitwa Belteshaza jina la muungu wangu, na ambaye ndani yake kuna roho ya miungu mitakatifu - na nilimwambia juu ya ndoto. \v 9 "Belteshaza, mkuu wa wachawi, ninajua kuwa roho ya miungu watakatifu iko ndani yako na ya kwamba hakuna siri iliyo ngumu kwako. Niambie kile nilichokiona katika ndoto yangu na nini maana yake. \ No newline at end of file +\v 7 Kisha walikuja wachawi, wale ambao hudai kuzungumza na wafu, watu wenye hekima, na wasoma nyota. Niliwaambia juu ya ndoto, lakini hawakuweza kunitafsiria. \v 8 Bali mwishoni Danieli aliingia ndani - yeye ambaye huitwa Belteshaza jina la muungu wangu, na ambaye ndani yake kuna roho ya miungu mitakatifu - na nilimwambia juu ya ndoto. \v 9 "Belteshaza, mkuu wa wachawi, ninajua kuwa roho ya miungu watakatifu iko ndani yako na ya kwamba hakuna siri iliyo ngumu kwako. Niambie kile nilichokiona katika ndoto yangu na nini tafsiri yake. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 146a0c4..1ae9e18 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -88,6 +88,7 @@ "03-29", "04-title", "04-01", - "04-04" + "04-04", + "04-07" ] } \ No newline at end of file