Fri Jan 20 2023 08:43:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 08:43:30 +03:00
parent 0857bbe26f
commit 6870da70ba
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Na nilipokuwa natafakari juu ya haya, niliona beberu akitoka magharibi, na kuvuka katika uso wa dunia yote, akikimbia kwa kasi kana kwamba hakuonekana kama aligusa ardhini. Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake. \v 6 Alienda mpaka kwa kondoo aliyekuwa na pembe mbili, nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji na mbuzi alikimbia kumwelekea kondoo dume kwa hasira kali.
\v 5 Na nilipokuwa natafakari juu ya hili, niliona beberu akitoka magharibi, na kuvuka katika uso wa dunia yote, akikimbia kwa kasi kana kwamba hakuonekana ka aligusa ardhini. Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake. \v 6 Alienda mpaka kwa kondoo aliyekuwa na pembe mbili, nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji na mbuzi alikimbia kumwelekea kondoo dume kwa hasira kali.