Fri Jan 20 2023 08:41:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 08:41:30 +03:00
parent f9b4525d4b
commit 0857bbe26f
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Nilitazama juu na nikaona mbele yangu kondoo dume lenye pembe mbili, limesimama pembeni mwa mfereji. Pembe moja ilikuwa ndefu kuliko nyingine, lakini pembe ndefu ilikuwa inakua pole pole kuliko ile fupi na pembe fupi ilirefuka na kuizidi nyingine. \v 4 Niliona kondoo dume akiishambulia magharibi, kisha kaskazini, na baadaye kusini; hakuna mnyama mwingine aliweza kusimama mbele yake. Hakuna yeyote kati yao aliyeweza kumwokoa yeyote katika mkono wake. Alifanya chochote kile alichokitaka, na akawa mkubwa sana.
\v 3 Nilitazama juu na nikaona mbele yangu kondoo dume lenye pembe mbili, limesimama pembeni mwa mfereji. Pembe moja ilikuwa ndefu kuliko nyingine, lakini pembe ndefu ilikuwa inakua pole pole kuliko ile fupi na pembe fupi ilirefuka na kuizidi nyingine. \v 4 Niliona kondoo dume akiishambulia magharibi, kisha kaskazini, na baadaye kusini; hakuna mnyama mwingine aliweza kusimama mbele yake. Hakuna yeyote kati yao aliweza kumwokoa yeyote katika mkono wake. Alifanya chochote kile alichokitaka, na akawa mkubwa sana.

View File

@ -154,6 +154,7 @@
"07-25",
"07-27",
"08-title",
"08-01"
"08-01",
"08-03"
]
}