Tue Jan 17 2023 11:56:53 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-17 11:56:55 +03:00
parent 380ce4e3b3
commit 4c41f05dbb
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 1 \v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuja Yerusalemu na kuuzunguka mji ili kuzuia mahitaji yake yote. \v 2 Bwana alimpa Nebukadneza ushindi dhidi ya Yehoyakimu mfalme wa Yuda, na alimpatia baadhi ya vitu vitakatifu kutoka nyumba ya Mungu. Alivipeleka vitu hivyo mpaka nchi ya Babeli, katika nyumba ya mungu wake, na aliviweka vitu vitakatifu katika hazina ya mungu wake.
\c 1 \v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuja Yerusalemu na kuuzunguka mji ili kuzuia mahitaji yake yote. \v 2 Bwana alimpa Nebukadneza ushindi dhidi ya Yehoyakimu mfalme wa Yuda, na alimpatia baadhi ya vitu vitakatifu kutoka nyumba ya Mungu. Alivipeleka vitu hivyo mpaka nchi ya Babeli, katika nyumba ya muungu wake, na aliviweka vitu vitakatifu katika hazina ya muungu wake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Mfalme akamwambia Ashipenazi, afisa wake mkuu, awalete baadhi ya watu wa Israeli, wa familia ya kifalme na za kiungwana - \v 4 vijana wasio na hila, wenye mwonekano wa kuvutia, wenye ujuzi katika hekima yote, wenye kujawa na ufahamu na weledi, na wenye sifa za kutumika katika ikulu ya mfalme. Alitakiwa kuwafundisha maandiko na lugha ya Babeli. \v 5 Mfalme aliwatengea kwa ajili yao fungu kutoka katika chakula chake kizuri kwa kila siku na katika divai aliyokunywa. Vijana hawa walitakiwa kufunzwa kwa miaka mitatu, na baada ya hapo, wangeweza kumtumikia mfalme.
\v 3 Mfalme akamwambia Ashipenazi, afisa wake mkuu, awalete baadhi ya watu wa Israeli, wa familia ya kifalme na za kiungwana - \v 4 vijana wasio na hila, wenye mwonekano wa kuvutia, wenye ujuzi katika hekima yote, wenye kujawa na ufahamu na weledi, na wenye sifa za kutumika katika ikulu ya mfalme. Alitakiwa kuwafundisha maandiko na lugha ya Babeli. \v 5 Mfalme alitenga kwa ajili yao fungu kutoka katika chakula chake kizuri kwa kila siku na katika divai aliyokunywa. Vijana hawa walitakiwa kufunzwa kwa miaka mitatu, na baada ya hapo, wangeweza kumtumikia mfalme.

View File

@ -37,6 +37,7 @@
],
"finished_chunks": [
"front-title",
"01-title"
"01-title",
"01-01"
]
}