Tue Jan 17 2023 11:54:53 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-17 11:54:55 +03:00
parent c4f8636c0c
commit 380ce4e3b3
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuja Yerusalemu na kuuzunguka mji ili kuzuia mahitaji yake yote. \v 2 Bwana alimpa Nebukadneza ushindi dhidi ya Yehoyakimu mfalme wa Yuda, na alimpatia vitu vitakatifu kutoka nyumba ya Mungu. Alivipeleka vitu hivyo mpaka katika nchi ya Babeli, kwa nyumba ya mungu wake, na aliviweka vitu vitakatifu katika hazina ya mungu wake.
\c 1 \v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuja Yerusalemu na kuuzunguka mji ili kuzuia mahitaji yake yote. \v 2 Bwana alimpa Nebukadneza ushindi dhidi ya Yehoyakimu mfalme wa Yuda, na alimpatia baadhi ya vitu vitakatifu kutoka nyumba ya Mungu. Alivipeleka vitu hivyo mpaka nchi ya Babeli, katika nyumba ya mungu wake, na aliviweka vitu vitakatifu katika hazina ya mungu wake.