Thu Jan 26 2023 17:02:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 17:02:33 +03:00
parent b29add1972
commit 3fab52a727
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Lakini wakati wake ulipokuwa na kiburi na roho yake ilifanywa kuwa ngumu na kwasababu hiyo alitenda kwa kiburi, alishushwa kutoka kiti chake cha enzi cha kifalme, na waliiondoa enzi yake. \v 21 Aliondolewa katika ubinadamu, alikuwa na akili za mnyama, na aliishi na punda wa mwituni. Alikula majani kama ng'ombe. Mwili wake ulilowanishwa kwa umande wa kutoka mbinguni mpaka pale alipojifunza kwamba Mungu Aliye Juu anatawala juu ya falme za watu na ya kwamba humweka mtu yeyote amtakaye juu yake.
\v 20 Lakini moyo wake ulipokuwa na kiburi na roho yake ilipofanywa kuwa ngumu na kwasababu hiyo alitenda kwa kiburi, alishushwa kutoka kiti chake cha enzi cha kifalme, na waliiondoa enzi yake. \v 21 Aliondolewa katika ubinadamu, alikuwa na akili za mnyama, na aliishi na punda wa mwituni. Alikula majani kama ng'ombe. Mwili wake ulilowanishwa kwa umande wa kutoka mbinguni mpaka pale alipojifunza kwamba Mungu Aliye Juu anatawala juu ya falme za watu na ya kwamba humweka mtu yeyote amtakaye juu yake.