From 3fab52a727ac60429daef7c88017364710aaa876 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 26 Jan 2023 17:02:33 +0300 Subject: [PATCH] Thu Jan 26 2023 17:02:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 05/20.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/05/20.txt b/05/20.txt index cfa370b..bb9e9e7 100644 --- a/05/20.txt +++ b/05/20.txt @@ -1 +1 @@ -\v 20 Lakini wakati wake ulipokuwa na kiburi na roho yake ilifanywa kuwa ngumu na kwasababu hiyo alitenda kwa kiburi, alishushwa kutoka kiti chake cha enzi cha kifalme, na waliiondoa enzi yake. \v 21 Aliondolewa katika ubinadamu, alikuwa na akili za mnyama, na aliishi na punda wa mwituni. Alikula majani kama ng'ombe. Mwili wake ulilowanishwa kwa umande wa kutoka mbinguni mpaka pale alipojifunza kwamba Mungu Aliye Juu anatawala juu ya falme za watu na ya kwamba humweka mtu yeyote amtakaye juu yake. \ No newline at end of file +\v 20 Lakini moyo wake ulipokuwa na kiburi na roho yake ilipofanywa kuwa ngumu na kwasababu hiyo alitenda kwa kiburi, alishushwa kutoka kiti chake cha enzi cha kifalme, na waliiondoa enzi yake. \v 21 Aliondolewa katika ubinadamu, alikuwa na akili za mnyama, na aliishi na punda wa mwituni. Alikula majani kama ng'ombe. Mwili wake ulilowanishwa kwa umande wa kutoka mbinguni mpaka pale alipojifunza kwamba Mungu Aliye Juu anatawala juu ya falme za watu na ya kwamba humweka mtu yeyote amtakaye juu yake. \ No newline at end of file