Tue Jan 17 2023 12:50:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-17 12:50:55 +03:00
parent 6d5372ef36
commit 3478cd4478
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 34 Ulitazama juu, na jiwe lilikuwa limechongwa, ingawa si kwa mikono ya wanadamu, na liliipiga sanamu katika miguu yake ya chuma na udongo, na kuiponda ponda. \v 35 Kisha chuma, udongo, fedha, na dhahabu zilivunjwa katika vipande vipande kwa wakati mmoja na yakawa kama makapi yaliyo katika sakafu za kupuria kipindi cha kiangazi. Upepo ukayapeperushia mbali na hakuna alama yake iliinayoachwa. Lakini jiwe lililoipiga sanammu likawa mlima mkubwa na kuijaza dunia yote.
\v 34 Ulitazama juu, na jiwe lilikuwa limechongwa, ingawa si kwa mikono ya wanadamu, na liliipiga sanamu katika miguu yake ya chuma na udongo, na kuiponda ponda. \v 35 Kisha chuma, udongo, fedha, na dhahabu zilivunjwa katika vipande vipande kwa wakati mmoja na yakawa kama makapi yaliyo katika sakafu za kupuria kipindi cha kiangazi. Upepo ukayapeperushia mbali na hakuna alama yake iliyoachwa. Lakini jiwe lililoipiga sanamu likawa mlima mkubwa na kuijaza dunia yote.

View File

@ -1 +1 @@
\v 36 Hii ndiyo ilikuwa ndotoyako. Na sasa tutamwambia mfalme maana yake. \v 37 Wewe, mfalme, ni mfalme wa wafalme kwa wale ambao Mungu wa mbinguni amekupa ufalme, nguvu, uweza na heshima. \v 38 Amevitia mkononi mwako sehemu ambazo binadamu huishi. Amekupa wanyama wa mwituni na ndege wa angani katika mkono wako, na amekufanya wewe utawale juu yao wote. Wewe u kichwa cha dhahabu cha sanamu.
\v 36 Hii ndiyo ilikuwa ndoto yako. Na sasa tutamwambia mfalme maana yake. \v 37 Wewe, mfalme, ni mfalme wa wafalme kwa wale ambao Mungu wa mbinguni amewapa ufalme, nguvu, uweza na heshima. \v 38 Amevitia mkononi mwako sehemu ambazo binadamu huishi. Amekupa wanyama wa mwituni na ndege wa angani katika mkono wako, na amekufanya wewe utawale juu yao wote. Wewe u kichwa cha dhahabu cha sanamu.

View File

@ -62,6 +62,7 @@
"02-25",
"02-27",
"02-29",
"02-31"
"02-31",
"02-34"
]
}