diff --git a/02/34.txt b/02/34.txt index 74fe315..c6b53d3 100644 --- a/02/34.txt +++ b/02/34.txt @@ -1 +1 @@ -\v 34 Ulitazama juu, na jiwe lilikuwa limechongwa, ingawa si kwa mikono ya wanadamu, na liliipiga sanamu katika miguu yake ya chuma na udongo, na kuiponda ponda. \v 35 Kisha chuma, udongo, fedha, na dhahabu zilivunjwa katika vipande vipande kwa wakati mmoja na yakawa kama makapi yaliyo katika sakafu za kupuria kipindi cha kiangazi. Upepo ukayapeperushia mbali na hakuna alama yake iliinayoachwa. Lakini jiwe lililoipiga sanammu likawa mlima mkubwa na kuijaza dunia yote. \ No newline at end of file +\v 34 Ulitazama juu, na jiwe lilikuwa limechongwa, ingawa si kwa mikono ya wanadamu, na liliipiga sanamu katika miguu yake ya chuma na udongo, na kuiponda ponda. \v 35 Kisha chuma, udongo, fedha, na dhahabu zilivunjwa katika vipande vipande kwa wakati mmoja na yakawa kama makapi yaliyo katika sakafu za kupuria kipindi cha kiangazi. Upepo ukayapeperushia mbali na hakuna alama yake iliyoachwa. Lakini jiwe lililoipiga sanamu likawa mlima mkubwa na kuijaza dunia yote. \ No newline at end of file diff --git a/02/36.txt b/02/36.txt index 9af2324..06f695b 100644 --- a/02/36.txt +++ b/02/36.txt @@ -1 +1 @@ -\v 36 Hii ndiyo ilikuwa ndotoyako. Na sasa tutamwambia mfalme maana yake. \v 37 Wewe, mfalme, ni mfalme wa wafalme kwa wale ambao Mungu wa mbinguni amekupa ufalme, nguvu, uweza na heshima. \v 38 Amevitia mkononi mwako sehemu ambazo binadamu huishi. Amekupa wanyama wa mwituni na ndege wa angani katika mkono wako, na amekufanya wewe utawale juu yao wote. Wewe u kichwa cha dhahabu cha sanamu. \ No newline at end of file +\v 36 Hii ndiyo ilikuwa ndoto yako. Na sasa tutamwambia mfalme maana yake. \v 37 Wewe, mfalme, ni mfalme wa wafalme kwa wale ambao Mungu wa mbinguni amewapa ufalme, nguvu, uweza na heshima. \v 38 Amevitia mkononi mwako sehemu ambazo binadamu huishi. Amekupa wanyama wa mwituni na ndege wa angani katika mkono wako, na amekufanya wewe utawale juu yao wote. Wewe u kichwa cha dhahabu cha sanamu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 9e40675..063381f 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -62,6 +62,7 @@ "02-25", "02-27", "02-29", - "02-31" + "02-31", + "02-34" ] } \ No newline at end of file