Fri Jan 27 2023 09:07:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-27 09:07:19 +03:00
parent 92f323353c
commit 2534718ff5
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 Tangu kipindi kile ambacho makubaliano yalifanywa pamoja naye, ataenenda kwa kwa hila; atakuwa mwenye nguvu akiwa na watu wachache tu. \v 24 Bila ya tahadhari ataingia katika sehemu tajiri sana za jimbo, na atafanya kile ambacho si baba yake wala baba wa baba yake alikifanya. Atagawanya mateka, nyara, na mali zake miongoni mwa wafuasi wake. Atapanga mpango wa kuiangusha ngome, lakini ni kwa muda tu.
\v 23 Tangu kipindi kile ambacho makubaliano yalifanywa pamoja naye, ataenenda kwa hila; atakuwa mwenye nguvu akiwa na watu wachache tu. \v 24 Bila ya tahadhari ataingia katika sehemu tajiri sana za jimbo, na atafanya kile ambacho si baba yake wala baba wa baba yake alikifanya. Atagawanya mateka, nyara, na mali zake miongoni mwa wafuasi wake. Atapanga mpango wa kuiangusha ngome, lakini ni kwa muda tu.