Fri Jan 27 2023 09:05:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-27 09:05:19 +03:00
parent ba4289fe6b
commit 92f323353c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Mfalme wa Kaskazini atauelekeza uso wake ili kuja kwa nguvu za ufalme wake wote, na kutakuwa na makubaliano atakayoyafanya na mfalme wa Kusini. Atampatia katika ndoa binti wa wanawake ili kuuharibu ufalme wa Kusini. Lakini mpango huo hautafanikiwa wala kumsaidia. \v 18 Baada ya hili, mfalme Kaskazini atakazia macho nchi za pwani na atateka nyingi kati ya hizo. Lakini amiri jeshi atakikomesha kiburi chake na atakisababisha kiburi chake kimgeuke mwenyewe. \v 19 Kisha atafuatilia miji yenye ngome katika nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka; na hatapatikana tena.
\v 17 Mfalme wa Kaskazini atauelekeza uso wake ili kuja kwa nguvu za ufalme wake wote, na kutakuwa na makubaliano atakayoyafanya na mfalme wa Kusini. Atampatia katika ndoa binti wa wanawake ili kuuharibu ufalme wa Kusini. Lakini mpango huo hautafanikiwa wala kumsaidia. \v 18 Baada ya hili, mfalme Kaskazini atakazia macho nchi za pwani na ataziteka nyingi kati ya hizo. Lakini amiri jeshi atakikomesha kiburi chake na atakisababisha kiburi chake kimgeuke mwenyewe. \v 19 Kisha atafuatilia miji yenye ngome katika nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka; na hatapatikana tena.