sw_act_text_ulb/08/34.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 34 Hivyo towashi akamwuliza Filipo, na kusema, "Nakuomba, ni nabii yupi ambaye anaongelewa habari zake, ni kuhusu yeye, au za mtu mwingine"?. \v 35 Filipo alianza kuzungumza, na kuanzia andiko hili la Isaya alimtangazia injili kuhusu Yesu.